swc_mat_text_reg/08/08.txt

1 line
480 B
Plaintext

\v 8 kamanda mkuu akajibu, akisema: Bwana, miye sina uwezo ya kukuleta kwangu, sema neno moja tu mtu wangu atapona. \v 9 Sababu nami niko na uwezo na askari wenye kuwa chini ya uwezo wangu. Nikimpa oda ya kwena na anaenda, pia mwengine mikisema kuya na nakuya. Na kwa mtu wangu wa kazi: fanya iv na anafanya. \v 10 Yesu akamusikie na akashangaa kwa ona neno yake, na Yesu akawambia wato walikuwa pamoja naye, Yesu akasema, hakika sijaona mtu mwenye imana sawa yeye katika Israeli.