swc_mat_text_reg/07/26.txt

1 line
250 B
Plaintext

\v 26 Lakini kila mutu anaskiya nendyangu, na asitumikia hayo atafanana na mutu mpumbafu alijenga nyunga nyumba yake juu ya mchanga . \v 27 Mvula ikaza mafuriko yakaja na upepo ukaja na kuipiga nyumba hiyo na ikaanguka , na uhabifu wake ukakamilika .