swc_mat_text_reg/08/30.txt

1 line
466 B
Plaintext

\v 30 Pale kulikwa nguruwe mingi wenye walikuwa mpembeni yao. \v 31 Na wutu wa pepo walikuwa wakilalamika kwa Yesu, na kukumwmba kama napenda kuwatosha penye wako, ni hiziru ututume kwa kundi la nguruwe! \v 32 Yesu akatowa oda kwa pepo kwendea kwingia katika ile kundi la nguruwe akisema mwende katika ile kikudi ya wanguruwa. Pepo wakatoka na kwende kwa nguruwe. Nakuni lote likashuka kuteka lokashuka kutoka kukilima kushuka ndani ya bahari lote na walikufa wate.