swc_mat_text_reg/27/45.txt

1 line
352 B
Plaintext

\v 45 Sasa, kwanza midi (saa sita) kufika saa kumi na tano (saa kenda) giza ya nguvu akafinika inchi yote. \v 46 Karibu na saa tatu ya magaribu, Yesu akalalamika na kusema: "Eli, Eli, Lama Sabakatani?" Maana ya ile ni:"Mungu wangu, Mungu wangu, juu ya nini una niachilia?". \v 47 Batu bengine pale balisikia ile, bakasema "ye une ana anza kwita Elia".