swc_mat_text_reg/25/31.txt

1 line
350 B
Plaintext

\v 31 Wakati Mwana wa Mtu atakapokuja katika utukufu wake pamoja na wamalaika wote, ataikaa juu ya kiti chake cha kifalme chenye utukufu. \v 32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atayatenga kwa makundi mawili kama vile mchungaji anavyotenga kondoo na mbuzi. \v 33 Ataweka kondoo kwa upande wake wa kuume, na mbuzi kwa upande wake wa kushoto.