swc_mat_text_reg/25/24.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 24 Kisha yule mtumishi aliyepewa furushi moja akakuja, akasema: “Bwana, nilijua kuwa wewe ni mtu mugumu anayevuna nafasi asipopanda, na kukusanya nafasi asiposambaza. \v 25 Kwa hiyo niliogopa, nami nikaenda kuficha ile mali yako ndani ya udongo. Basi mali yako ndiyo hii, uitwae.”