swc_mat_text_reg/25/01.txt

1 line
360 B
Plaintext

\c 25 \v 1 Halafu kwa wakati ule, Ufalme wa mbinguni utafanana na wabinti kumi waliotwaa taa zao na kwenda kumupokea bwana-arusi. \v 2 Watano kati yao walikuwa wajinga na watano walikuwa wenye akili. \v 3 Wale wajinga walitwaa taa zao tu, lakini hawakupeleka mafuta ya kutia ndani yao. \v 4 Lakini wale wenye akili walitwaa machupa ya mafuta pamoja na taa zao.