swc_mat_text_reg/23/20.txt

1 line
355 B
Plaintext

\v 20 Katika haya yote mtu anayeapa kwa jina la mazabahu anaapa kwa jina lile na kwa majina ya vyote vinavyokuwa juu yake. \v 21 Vilevile anayeapa kwa jina la hekalu anaapa kwa jina lile na kwa jina la Mungu anayekuwa ndani yake. \v 22 Naye anayeapa kwa jina la mbingu anaapa kwa jina la kiti cha kifalme cha Mungu na kwa jina la Mungu anayeikaa juu yake.