swc_mat_text_reg/23/18.txt

1 line
277 B
Plaintext

\v 18 Munasema vilevile kwamba mtu akiapa akitaja mazabahu, si kitu; lakini kama akiapa akitaja sadaka inayokuwa juu yake, anapaswa kutimiza kiapo chake. \v 19 Ninyi vipofu! Ni nini inayokuwa kubwa zaidi, sadaka au mazabahu ndiyo inayoifanya sadaka ile ihesabiwe kuwa takatifu?