\v 11 Lakini anayekuwa mkubwa kati yenu sherti akuwe mtumishi wenu. \v 12 Na yeyote anayejiinua, atashushwa, lakini anayejishusha, atainuliwa.