swc_mat_text_reg/20/29.txt

1 line
376 B
Plaintext

\v 29 Wakati balitoka yeriko umati kubwa ilimu fwata. \v 30 Na baliona vipofu bawili bana ikaa pembeni ya barabara. balisikia. balisikia. balisikia kuawa Yesu alikuwa anapita, balipiga sauti na kusema " Bwana, mwana wa Daudi, utuhurumie." \v 31 Lakini umati akabakemea, na kubaambia munyamaze hata hivi bao bakapiga sauti mingi na kusema, " Bwana, mwana wa Daudi, utuhurumie".