swc_mat_text_reg/16/27.txt

1 line
252 B
Plaintext

\v 27 Kwa kuwa mtoto wa mtu atakuya katika utukufu wa nbaba jake na wamalaika wake , na ye atamulipa kila mtu kufuatana na kazi jake . \v 28 Kweli ninawambia kuko wenye kati yenu hapa ambao hawatoona kufa mpaka watamuona mtoto akikuya kati ufalme wake.