swc_mat_text_reg/16/24.txt

1 line
344 B
Plaintext

\v 24 Kiisha Yesu akawambia wanafunzi wake kama mutu yote akitaka kunifuata mimi ni mzuri ajikatale ye peke na abebe masalaba yake na anifuate. \v 25 Kwa kuwa mtu ule anayetaka kuokowa maisha jake ataipoteza na ule yote anaye poteza maisha yake kwa ajili yangu ataiokowa . \v 26 Je ! Ni kitu mtu anaweza towa katika kubadilishama na maisha yake