swc_mat_text_reg/16/17.txt

1 line
279 B
Plaintext

\v 17 Yesu akamwambia: unaburikiwa Simona mtoto wa Yona, sababu si kwa damu ao kwa mwili haiku kupatia ile jibu lakini ni bababa yangu aliye mbinguni. \v 18 Na mimi pia na kuambia kama wewe ni Petro na jiu ya mwambahii ndio mitajenga kanisa langu. Milangu ya kuzimu hatalishinda.