swc_mat_text_reg/15/36.txt

1 line
415 B
Plaintext

\v 36 Kisha akatwaa ile mikate saba na zile samaki, akamushukuru Mungu, akaimega na kuwapa wanafunzi wake wavigawanye kwa watu. \v 37 Wote wakakula na wakashiba. Kisha wanafunzi wakaokota vipande vilivyobaki, wakajaza vitunga saba. \v 38 Watu waliokula walikuwa wanaume elfu ine, pasipo kuhesabu wanawake na watoto. \v 39 Kisha kuaga yale makundi ya watu, Yesu akaingia ndani ya chombo, na kwenda pande za Magadani.