\v 21 Tena mwanafunzi mwengine aka mwambia Bwana, unipa ruhusa nende kuzika baba yangu. \v 22 Lakini Yesu alimujibu unifaute, na uwaache wafu wazika wafu wao.