swc_mat_text_reg/08/11.txt

1 line
378 B
Plaintext

\v 11 Nawalisha kama wengi watatoka mashariki na magharibi wtaikola meza moja na Abrahimu, Isaka na Yakobo, katika ufame wa mbingu. \v 12 Mara ingine watoto wa ufalme watupwa katika giza la inje kwenye kutakiwa kiliyo na kiliyo na kusaga meno. \v 13 Yesu akasema na kamanda, kwenda kama vile umekwisha amini, na ifanyike vile kwako. Na pale pale mtu wa kazi alipona kwa saa ile.