\v 4 Yesu akamwambia: usimwembia mtu manone hii. Lakini wende zako, na kuzionesha kwa kuhuni na utwe sadaka, kwa kufatana na gisi Musa anamuru. Kwa sababu ya ushuuda.