swc_mat_text_reg/08/01.txt

1 line
285 B
Plaintext

\c 8 \v 1 Wakati Yesu alishuka kukilima, watu wengi walimfuata. \v 2 Na ongalia mtu moya wa ukoma alitokea na kupiga magoti mbele ya Yesu akimwambia bwana, ikikupendeza unitakase. \v 3 Yesu akanyolosho mkono na akamgusa, na akasema naye: Nataka utakasike. Mara moja ukoma wake ukaisha.