swc_mat_text_reg/02/22.txt

1 line
336 B
Plaintext

\v 22 Lakini aliposikia kwamba Arkelao alitawala katika jimbo la Yudea kwa pahali pa baba yake Herode, Yosefu akaogopa kwenda kule. Na alipokwisha kuonywa katika ndoto, akaenda katika jimbo la Galilaya. \v 23 Kule akakaa katika mji ulioitwa Nazareti, kusudi yatimie maneno yaliyosemwa kwa njia ya manabii: «Ataitwa mtu wa Nazareti.»