\v 9 Kisha kumusikiliza mfalme, wakaondoka. Ile nyota waliyoiona tokea mashariki iliwatangulia, nayo ikaenda na kusimama juu ya pahali mtoto alipokuwa. \v 10 Na wakati walipoiona wakafurahi sana.