swc_mat_text_reg/02/01.txt

1 line
400 B
Plaintext

\c 2 \v 1 Yesu alizaliwa Betelehemu katika Yudea wakati wa utawala wa mfalme Herode. Kisha kuzaliwa kwake, watu wenye elimu kutoka mashariki wakafika Yerusalema. \v 2 Nao wakauliza: «Yuko wapi yule mtoto aliyezaliwa kuwa mfalme wa Wayuda? Tumeona nyota yake inayomutambulisha, nasi tumekuja kumwabudu.» \v 3 Mfalme Herode aliposikia maneno haya, akafazaika sana pamoja na wakaaji wote wa Yerusalema