\v 21 Basi, Yesu akanza ku waambia wanafunzi wake kama inampasa kwenda Jerusalemu kuteswa kwa mambo katika mikono ya waju wa makuhani na wandishi, atauwawa na kufufuka siku ya tatu . \v 22 Kiisha Petro akamukamatia Yesu akaenda naye pembeni kwa kumukataza kwa kusema " neno hili likwe mbali nawe bwana isikutoe. \v 23 Lakini Yesu akamwangali Petro akasema " rudi nyuma jangu shetani ! weye ni kizuizo kwangu, kwa maana hawangaikie maneno ya Mungu , lakini maneno ya watu.