Sat May 30 2020 17:25:29 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-05-30 17:25:31 +01:00
parent a418a36f79
commit ec8610cc4f
3 changed files with 4 additions and 1 deletions

1
27/43.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 43 Hivi ana tuma inia Mungu, sasa Mungu ule amukomole mokama Mungu ana mu eshimia, juu anasemaka" niko mutoto wa Mungu". \v 44 Na ba mwiji bale bali kuyaka naye ku misalaba, nabo vile vile baka anza kumu chambula.

1
27/45.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 45 \v 47 Sasa, kwanza midi (saa sita) kufika saa kumi na tano (saa kenda) giza ya nguvu akafinika inchi yote. \v 46 Karibu na saa tatu ya magaribu, Yesu akalalamika na kusema: "Eli, Eli, Lama Sabakatani?" Maana ya ile ni:"Mungu wangu, Mungu wangu, juu ya nini una niachilia?". bengine pale balisikia ile, bakasema "ye une ana anza kwita Elia".

View File

@ -295,6 +295,7 @@
"27-32",
"27-35",
"27-38",
"27-41"
"27-41",
"27-43"
]
}