Sun Oct 11 2020 18:07:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 18:07:20 +01:00
parent d5d36a97fa
commit d1be32c893
3 changed files with 3 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
19 Musijiwekee akiba katika dunia hii, pahali nondo na kutu vinapoharibu, nao wizi wanapotoboa nyumba na kuiba. 20 Lakini mujiwekee akiba katika mbingu, pahali nondo wala kutu visipoweza kuharibu, nao wizi wasipoweza kutoboa na kuiba. 21 Kwa maana pahali akiba yako inapokuwa, ni pale roho yako inapokuwa vilevile. Mwangaza wa mwili
\v 19 Musijiwekee akiba katika dunia hii, pahali nondo na kutu vinapoharibu, nao wizi wanapotoboa nyumba na kuiba. \v 20 Lakini mujiwekee akiba katika mbingu, pahali nondo wala kutu visipoweza kuharibu, nao wizi wasipoweza kutoboa na kuiba. \v 21 Kwa maana pahali akiba yako inapokuwa, ni pale roho yako inapokuwa vilevile. Mwangaza wa mwili

1
06/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Macho ni taa ya mwili. Kama macho yako yakiwa mazima, mwili wako wote utabaki katika mwangaza. 23 Lakini kama macho yako yanaharibika, mwili wako wote utabaki katika giza. Basi ikiwa mwangaza unaokuwa ndani yako umegeuka kuwa giza, giza hilo ni nzito sana! 24 Hakuna mtu anayeweza kuwatumikia wabwana wawili. Kwa maana atamuchukia mmoja na kumupenda mwingine; au atashikamana na mmoja na kumuzarau mwingine. Hamuwezi kutumikia Mungu na kutumikia mali vilevile. 25 Ni kwa sababu hii ninawaambia ninyi: musijisumbue kwa ajili ya maisha yenu, kwa ajili ya chakula au kwa ajili ya kinywaji, wala musijisumbue kwa ajili ya miili yenu kwamba mutavaa nini. Uzima ni wa lazima kuliko vyakula, nao mwili ni wa lazima kuliko nguo. 26 Muangalie ndege wanaoruka katika anga: wao hawapandi mbegu wala hawavuni, wala hawaweki mavuno ndani ya gala, lakini Baba yenu anayekuwa mbinguni anawakulisha! Basi ninyi si wa lazima zaidi kuliko ndege wale?

View File

@ -106,6 +106,7 @@
"06-11",
"06-14",
"06-16",
"06-19",
"07-title",
"07-01",
"07-03",