Sun Oct 11 2020 19:33:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 19:33:21 +01:00
parent bb0342b5ce
commit af4240df29
4 changed files with 5 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 26 Naye bwana wake akamujibu: “Wewe mtumishi mubaya na muvivu! Ulijua kama ninavuna nafasi nisipopanda, na kukusanya nafasi nisiposambaza. \v 27 27 Basi, ungepaswa kuweka mali yangu ndani ya banki, kusudi siku ya kurudi kwangu, ningepata mali yangu pamoja na faida yake.
\v 26 Naye bwana wake akamujibu: “Wewe mtumishi mubaya na muvivu! Ulijua kama ninavuna nafasi nisipopanda, na kukusanya nafasi nisiposambaza. \v 27 Basi, ungepaswa kuweka mali yangu ndani ya banki, kusudi siku ya kurudi kwangu, ningepata mali yangu pamoja na faida yake.

1
25/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Mumunyanganye ile furushi moja na kuitoa kwa yule anayekuwa na furushi kumi. \v 29 Kwa maana mtu anayekuwa na kitu ataongezewa kingine; lakini mtu asiyekuwa na kitu, ataondolewa hata kidogo anachokuwa nacho. \v 30 Na zaidi ya hii, mumutupe huyu mtumishi asiyekuwa na mafaa inje kwenye giza. Kule atalia na kusaga meno.”»

1
25/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Wakati Mwana wa Mtu atakapokuja katika utukufu wake pamoja na wamalaika wote, ataikaa juu ya kiti chake cha kifalme chenye utukufu. \v 32 32 Mataifa yote yatakusanyika mbele yake, naye atayatenga kwa makundi mawili kama vile mchungaji anavyotenga kondoo na mbuzi. \v 33 33 Ataweka kondoo kwa upande wake wa kuume, na mbuzi kwa upande wake wa kushoto.

View File

@ -423,6 +423,8 @@
"25-19",
"25-22",
"25-24",
"25-26",
"25-28",
"26-title",
"26-01",
"26-03",