Sun Oct 11 2020 18:29:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 18:29:20 +01:00
parent 7348832971
commit a61d498e6b
4 changed files with 6 additions and 0 deletions

1
23/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Ole kwenu, ninyi walimu wa Sheria na Wafarisayo, ninyi wanafiki! Munafanana na makaburi yaliyopakaliwa chokaa, yanayoonekana kuwa mazuri kwa inje, lakini ndani yanajaa mifupa ya wafu na uchafu wa kila namna. \v 28 Ni vile ninyi munavyokuwa, kwa inje munaonekana kuwa wenye haki mbele ya watu, lakini ndani yenu munajaa unafiki na uovu.

1
23/29.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 29 Ole kwenu, ninyi walimu wa Sheria na Wafarisayo, ninyi wanafiki! Munajenga makaburi ya manabii na kupamba makaburi ya watu waliokuwa wema. \v 30 Nanyi munasema: «Kama sisi tungaliishi katika nyakati za babu zetu, hatungalijiunga nao katika shauri la kuwaua manabii.» \v 31 Hivi munajishuhudia ninyi wenyewe kuwa ninyi ni ukoo wa watu waliowaua manabii.

1
23/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 Basi mutimize hayo mambo babu zenu waliyoyaanza! \v 33 Ninyi kikundi cha nyoka! Namna gani mutaweza kuepuka azabu ya jehenamu?

View File

@ -374,6 +374,9 @@
"23-20",
"23-23",
"23-25",
"23-27",
"23-29",
"23-32",
"24-title",
"24-01",
"24-03",