Sun Oct 11 2020 18:03:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 18:03:20 +01:00
parent 2a0974f243
commit a41074dbba
4 changed files with 5 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
Utupe chakula chetu cha kila siku. 12 Utusamehe makosa yetu, kama sisi tunavyowasamehe wanaotukosea, 13 Usituache kuanguka katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu. [Kwa maana ufalme, uwezo na utukufu ni vyako hata milele. Amina.] 14 Hivi, mukiwasamehe watu wengine makosa wanayowatendea, Baba yenu anayekuwa mbinguni atawasamehe vilevile. 15 Lakini kama musipowasamehe wengine wanaowakosea, Baba yenu hatawasamehe makosa yenu vilevile. Mafundisho juu ya kufunga kula chakula
\v 11 Utupe chakula chetu cha kila siku. \v 12 Utusamehe makosa yetu, kama sisi tunavyowasamehe wanaotukosea, \v 13 Usituache kuanguka katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu. [Kwa maana ufalme, uwezo na utukufu ni vyako hata milele. Amina.]

1
06/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Hivi, mukiwasamehe watu wengine makosa wanayowatendea, Baba yenu anayekuwa mbinguni atawasamehe vilevile. \v 15 Lakini kama musipowasamehe wengine wanaowakosea, Baba yenu hatawasamehe makosa yenu vilevile. Mafundisho juu ya kufunga kula chakula

1
06/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Munapofunga kula chakula, musifanye kama wanafiki, wanaojigeuza kuwa wenye sikitiko na kukunja nyuso zao, kusudi watu waone kwamba wanafunga. Kweli ninawaambia: wamekwisha kupata faida yao. 17 Lakini wewe unapofunga kula chakula, unawe uso wako na kuchanua nywele zako, 18 kusudi usijionyeshe kwa watu kwamba unafunga. Jambo hilo litajulikana tu kwa Baba yako anayekuwa kwa siri. Naye Baba yako anayeona tendo unalofanya kwa siri, atakulipa. Akiba ya dunia na ya mbinguni

View File

@ -103,6 +103,8 @@
"06-03",
"06-05",
"06-08",
"06-11",
"06-14",
"07-title",
"07-01",
"07-03",