Sun Oct 11 2020 17:59:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)
This commit is contained in:
parent
aabdb2ca7d
commit
709337b8e4
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 3 \v 4 Lakini wewe, unapomusaidia masikini, ufanye tendo lile kwa uficho hata rafiki yako wa kweli asijue. 4 Hivi tendo lile halitatoka inje, naye Baba yako anayeona tendo unalofanya kwa siri, atakulipa
|
||||
\v 3 Lakini wewe, unapomusaidia masikini, ufanye tendo lile kwa uficho hata rafiki yako wa kweli asijue. \v 4 Hivi tendo lile halitatoka inje, naye Baba yako anayeona tendo unalofanya kwa siri, atakulipa
|
|
@ -0,0 +1 @@
|
|||
\v 5 Munapoomba, musikuwe kama wanafiki, kwa maana wanapenda kuomba wakisimama katika nyumba za kuabudia na pembeni ya barabara, kusudi wapate kujionyesha mbele ya watu. Kweli ninawaambia: wamekwisha kupata faida yao. \v 6 Lakini wewe, unapoomba, ingia ndani ya chumba chako, funga mulango na uombe kwa Baba yako asiyeonekana. Na Baba yako anayeona tendo unalofanya kwa siri, atakulipa. \v 7 Tena munapoomba, musitumie maneno mengi yasiokuwa na maana kama vile wapagani wanavyofanya, kwa sababu wanawaza kama Mungu atawasikia kama wakisema maneno mengi.
|
|
@ -100,6 +100,7 @@
|
|||
"05-46",
|
||||
"06-title",
|
||||
"06-01",
|
||||
"06-03",
|
||||
"07-title",
|
||||
"07-01",
|
||||
"07-03",
|
||||
|
|
Loading…
Reference in New Issue