Sun Oct 11 2020 19:09:20 GMT+0100 (Afr. centrale Ouest)

This commit is contained in:
tsDesktop 2020-10-11 19:09:21 +01:00
parent 6541731d6f
commit 5e16cc0a05
2 changed files with 3 additions and 0 deletions

1
15/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Lakini vyote vinavyotoka ndani ya kinywa ni vyenye kutoka kwanza ndani ya moyo wake, navyo vinamuchafua mtu. \v 19 Kwa maana ndani ya moyo munatoka mawazo mabaya yanayoleta uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushuhuda wa uongo na matukano. \v 20 Mambo haya ndiyo yanayomuchafua mtu! Lakini kula pasipo kunawa mikono hakuwezi kumuchafua mtu.”»

View File

@ -259,6 +259,8 @@
"15-07",
"15-10",
"15-12",
"15-15",
"15-18",
"16-title",
"16-01",
"16-03",