swc_mat_text_reg/16/09.txt

1 line
194 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 9 Ndio kusema hamukumbuki ile mikate tano kwa watu elfu tano na bitunga bingapi ile mulikusanya kishu kula? \v 10 Au mikate saba kwa watu elfu ine bitunga bingapi mulipo kusanya kisha kula ?