sw_tn_fork/phm/01/14.md

41 lines
959 B
Markdown

# Lakini sikutaka kufanya jambo lolote bila ridhaa yako
"Lakini sikutakutaka kumweka yeye hapa bila idhini yako" au "Lakini nilitaka awe pamoja nami kama wewe umekubali"
# hivyo kila jambo zuri ulilofanya si kwa sababu nimekulazimisha
hivyo kila jambo jema utakalofanya, si kwa sababu nakulazimisha."
# lakini kwa sababu ulitaka kufanya
"kwa sababu uliwa huru kuchagua kufanya jambo lililo jema"
# labda kwa sababu mlitengwa naye
Hii yaweza kutafsiriwa hivi "Labda ni sababu ya Mungu kumpeleka Onesmo awe mbali nawe."
# kwa wakati
"kwa muda huu"
# bora zaidi ya mtumwa
"ana thamani zaidi ya mtumwa"
# ndugu mpendwa
"ndugu mpendwa" au "ndugu wa thamani katika Kristo"
# zaidi sana kwako
"anamaanisha zaidi sana kwako"
# kibinadamu
uhusiano wa kibinadamu unaweza kuonekana wazi: "kwa sababu yeye ni mtumwa wenu" "kama mtu" au "uhusiano wa kibinadamu."
# na katika Bwana
"na kama ndugu katika Bwana" au na kwa sababu yeye ni mali ya Bwana."