forked from WA-Catalog/sw_tn
362 B
362 B
Taarifa kwa ujumla
Barua kutoka kwa Tetai kwenda kwa mfalme ambayo inaanza katika 5:6 inaendelea. Tetai amemaliza kumwambia mfalme kile ambacho wayahudi wamemwambia yeye na sasa anamwuliza mfalme kuona kwamba kile wayahudi wamemwambia yeye ni kweli.
ikiwa hukumu ya mfalme Koreshi iko pale
"ikiwa kuna kumbukumbu kule ambapo mfalme Koreshi alitoa amri"