# Sitaki msifahamu Paulo anasisitiza kwamba alitaka wawe na taarifa hii. "Nilitaka ninyi mfahamu haya" # Ndugu Hapa anamaanisha Wakristo wenzake, ukijumuisha wote wanaume na wanawake. # Lakini nilikuwa nimezuiwa "kuna kitu kilikuwa kinanizuia" # Muwe na tunda "Tunda" linawakilisha watu wa Roma amabao Paulo alitaka kuwaongoza waamini injili. # Kama ilivyo kati ya Mataifa "Kama ambavyo watu walikuja kuamini injili kwemye taifa lingine la Mataifa" # Nina deni kwa wote "Lazima nipeleke injili kwa"