# wanainua vichwa vyao Hii ni ishara ya kuwa na kiburi. "wana kiburi" # acha madhara ya midomo yao wenyewe iwafunike Hili ni ombi kuwa Mungu atawafanya watenda maovu kuteseka kwa shida walizosababisha kwa maneno waliyosema. # madhara ya midomo yao wenyewe Taabu walizosababisha wenyewe kwa yale waliyosema. # iwafunike Basi, wazuie kusababisha shida zaidi. # Acha makaa ya moto yawadondokee; watupe katika moto Picha ya moto inamaanisha adhabu kali kwa ajili ya waovu. # shimo lisilo na mwisho Hii inaweza kumaanisha kuzimu, ulimwengu wa wafu. # watu wa ndimi wale wanaozungumza uovu kuhusu wengine bila sababu. # salama katika nchi "salama katika maisha haya" # na uovu umwinde mtu mwenye vurugu Hapa uovu unazungumziwa kana kwamba ni mtu anayelipiza kisasi kwa mtu mwingine.