# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # Zaburi ya Daudi Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi. # Kamata ngao yako ndogo na ngao kubwa ... mkuki wako na shoka ya vita Misemo hii inamwelezea Mungu kama shujaa ambaye anajiandaa kwa ajili ya vita. # ngao yako ndogo na ngao kubw hizi ni silaha za kujilinda # mkuki wako na shoka ya vita hizi ni silaha za mashambulizi # wale wanaonifukuza Maana zinawezekana ni 1) hawa ni adui wanaomfukuza mwandishi kiuhalisia au 2) hii ni sitiari ya watu ambao ni adui wa mwandishi. # sema kwa nafsi yangu Hii inamaanisha mwandishi. "sema kwangu" # Mimi ni wokovu wako "Mimi ni mwokozi wako" au "Nitakuokoa"