# kikapu cha kuwekwa wakfu Hii humaanisha kikapu kilicho na matoleo yatumikayo wakati wa kuwaweka wakfu Aroni na wanawe. : "kile kikapu" # kama nilivyoamru, kusema, 'Aroni na wanawe wataila Hii ina nukuu ndani ya nukuu. Nukuu ya moja kwa moja yaweza kutamkwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. " kama nilivyokuagiza kufanya" # hata zitakapotimia siku za kuwekwa mikono kwenu Hii yaweza kufasiriwa katiika mtindo wa utendaji. : "mpaka mkamilishe siku zenu za kuwekewa mikono. # kuwekwa mikono Tazama lilivyofasiriwa katika sura ya 8:28