# Watu hawa "Hawa wadhihaki" # wanatawaliwa na tamaa za asili Watu hawa wanazungumziwa kama tamaa zao ni wafalme wanao watawala. "Awaachi kumkosea Mungu kwa kuendelea kufanya maovu wanayo tamani kufanya. # hufuata ... tamaa Tamaa zisizo za kitauwa za ongelewa kama ni njia ambayo huyo mtu kaifuata. # ni wa kidunia "wenye dharau wanajiingiza kwenye dhambi ya zinaa" # hawana Roho Roho Mtakatifu anazungumziwa kama ni kitu ambacho watu wanaweza kumiliki.