# Kwa hiyo walikusanyika Hawa ni makabila ya Yuda na Israeli yaliyokuwa pamoja na Asa. # Mwezi wa tatu. Huu ni mwezi wa tatu wa kalenda ya Kiebrania # Ni mwezi unaotokea mwishoni mwa Mei na mwanzoni mwa Juni kaatika kalenda ya magharibi Tatu...kumi na tano # Tatu(3)...Kumi na tano (15) Mwezi wa tatu. # Mia saba...elfu saba Mia saba (700)...Elfu saba (7,000)