# kaskazini na kusini Mwandishi anatumia maneno "kaskazini" na "kusini" kwa pamoja kumaanisha kuwa Mungu aliumba kila kitu kila sehemu. # Tabori na Hermoni wanafurahi katika jina lako Tabori ni mlima kusini magharibi mwa bahari la Galilaya na Hermoni ni mlima kaskazini mashariki mwa bahari la Galilaya. Mwandishi anaelezea milima hii kana kwamba ni watu wanaoweza kufurahi. "Ni kana kwamba mlima Tabori na mlima Hermoni ilikuwa ikifurahi katika jina lako" # katika jina lako Hapa "jina" linamaanisha mtu mzima. "katika wewe"