# Ufunuo wote umekuwa kwako kama maneno ya kitabu kilichofungwa kabisa Nabii mwingine Yerusalemu hawawezi kusikia au kuelewa ujumbe wa Mungu. "Yote ambayo Yahwe amefunua kwako ni kama kitabu kilichofungwa kabisa" # kilichofungwa, ambacho watu wanaweza kutoa kwa yule ambayo amesoma Hii inaweza kuandikwa kama sentensi mpya. "inafungwa kabisa. Mtu anaweza kuchukua kitabu kilichofungwa kabisa kwa mtu ambaye anaweza kusoma" # kama kitabu kinatolewa kwa yule ambaye hawezi kusoma Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Kama mtu anachukua kitabu kwa mtu ambaye hawezi kusoma"