# Epafra Huyu alikuwa mwaminu na mfungwa pamoja na Paulo. # mfungwa mwenzangu katika Kristo Yesu "ambaye yupo gerezani pamoja na mimi kwa sababu ya Yesu Kristo" # Marko, Aristarko, Dema, Luka, watendakazi wenzangu. Marko, Aristarko, Dema, Luka, watendakazi wenzangu nawasalimu. # Marko ... Aristarko ... Dema ... Luka Haya ni majina ya watu. # watendakazi wenzangu "wafanyakazi wenzangu" au "wote wanaofanya kazi na mimi" # Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho yako. Neno "yako" inawaelezea Filemoni na wote waliokutana nyumbani. "roho yako" inawakilisha watu wenyewe. "Bwana wetu Yesu Kristo awe mwema kwenu"