# Ujasiri kuhusu utii wako "Kwa sababu nina hakika kwamba utafanya kile nilichosema" # Na wakati mwingine "Pia" # andaa chumba kwa ajili yangu andaa chumba hapo kwako iwe tayari kwa ajili yangu. Paulo alimwambia Filemoni afanye hivyo. # nitakutembelea hivi karibuni "Wale walioniweka gerezani wataniachia huru hivyo ntakuja kwako" # Sentensi unganishi Paulo anamalizia barua yake kwa kuwabariki Filemoni na waamini wote waliokuwa wakikusanyika kusali katika nyumba ya Filemoni. # Maelezo ya jumla Maneno "wewe, ninyi" yanawaelezea Filemoni na waamini waliokutana nyumbani.