# kama unanichukulia kama mshiriki "kama wewe unanidhania mimi mtenda kazi wa Kristo" # unidai mimi malipo "malipo yatatoka kwangu" au "sema kwamba mimi ni mmoja wa unaowadai." # mimi Paulo ninaandika kwa mkono wangu Paulo niliyeandika hivyo, kwamba Filemoni ujue kwamba ni maneno ya kweli; Paulo kweli angemlipa. "Mimi, Paulo, ninaandika hivi mwenyewe." # Sikutaka kukwambia "Sikuhitaji kukukumbusha wewe" "wewe unajua" # unanidai maisha yako "wewe unanidai maisha yako" Paulo anamwambia Filemoni asiseme kuwa anawadai Onesmo au Paulo maisha yake kwa sababu Paulo anamdai zaidi Filemoni. "Ninakudai zaidi maana nimeyaokoa maisha yako" # furahisha moyo wangu Paulo alitaka Onesmo angefanya kwa uaminifu: furahisha moyo wangu kwa kumkubali Onesmo. "uufanye moyo wangu ufurahi" au "unifurahishe" au "unifariji."