# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu. # huifunga bahari Yahweh anatumia swali hili ili kutia mkazo kwamba aliifanya bahari. # huifunga bahari kwa milango Yahweh analinganisha njia aliyoitumia kuizuia bahari ili isiigharikishe dunia yote na kuishikilia bahari kwa nyuma. # kana kwamba inatoka katika tumbo Yahweh analinganisha uumbaji wake wa bahari na uzazi. # mavazi yake kama nguo kwa ajili ya bahari # giza nene :mawingu meusi sana" # na giza nene kuwa mkanda wake wa kujifungia "na kufunga katika mawingu mazito Kama mkanda wa kujifungia" # mkanda wake wa kujifungia Hiki ni kipande cha nguo ambacho watu walikitumia kuwafunga watoto wachanga baada ya kuzaliwa.