# Sentensi Unganishi Ayubu anaendelea kuongea # wamelowana kwa manyunyu ya milimani " wanlowana wakati inaponyesha milimani" # yatima kutoka kwenye maziwa ya mama zao "maziwa" inarejea kwa mama. maana yake kuwa yatima hawa bado wadogo sana. KTN: " yatima wachanga kutoka kwenye mikono ya mama zao au vichanga wasio na baba kutoka kwa mama zao" # yatima hii inarejea kwa watoto ambao hawana wazazi. Hata hivyo hapa neno hili limetumika kumaanisha watoto ambao hawana mama wla baba. # huchukua watoto kama dhamana kutoka kwa watu masikini "huchukua watoto wa watu wa masikini ili kuhakikisha kuwa watu masikini watalipa pesa walizokopa" # dhamana mwazimishaji anachukua kitu kutoka kwa mwazimaji ili kuhakikisha kwamba atalipa tena. # huzunguka "kutembea huku na kule" # uchi pasipo mavazi "uchi pasipo mavazi" maana yake ni sawa na kuwa uchi. # hubeba miganda ya nafaka ya wengine hii inamaanisha wanfanya kazi kuzalisha chakula kwa wengine wala si kwa ajili yao wenyewe.