# Kwa kuwa nimejaa taabu Mwandishi anajizungumzia kana kwamba ni chombo na taabu ni vitu vinavyojaza hicho chombo. "Kwa kuwa nina taabu sana" # maisha yangu yamefika kuzimu Hapa "maisha" yanamwakilisha mwandishi na "kuzimi" kunawakilisha mauti. Inawezekana mwandishi anajizungumzia mwenyewe kufa mapema kana kwamba kuzimu ni sehemu na amefika hiyo sehemu. "nimekaribia kufa" # Watu wananifanyia kama wale wanaoenda chini shimoni Neno "shimo" linamaana moja kama "kuzimu." Msemo "wanaoenda chini kuzimu" inawakilisha kufa. "watu wananifanya kana kwamba tayari nimekufa"