# aliamuru anga Asafu anazungumzia anga kana kwamba ilikuwa ni mtu anayeweza kusikia na kutii amri za Mungu. "alizungumza na anga' # anga Maana zinazowezekana ni 1) "anga" au 2) "mawingu." # kufungua mzlango ya anga Asafu anazungumzia anga kana kwamba ni ghala lenye mzlango. "kufungua anga kana kwamba ni ghala" # Aliwanyeshea mana kwa ajili yao kula, na kuwapa nafaka kutoka mbinguni Mistari hii miwili inazungumzia tukio moja. # Aliwanyeshea mana "Alisababisha mana kudondoka kutoka angani kama mvua" # mkate wa malaika Hii inazungumzia mana. "aina moja ya chakula ambayo malaika hula" # chakula cha kutosha "kiasi kikubwa cha chakula"