# Kwa nini umeinama chini, nafsi yangu? Kwa nini umefadhaika ndani yangu? Mwandishi jizungumzia undani wake kama "nafsi" yake. Anajiuliza maswali haya kujikemea. "Sitakiwi kuinama chini. Sitakiwa kuwa na wasiwasi" # umeinama chini Mwandishi anazungumzia huzuni au kukata tamaa kana kwamba nafsi yake imeinama. "kukata tamaa" # Mtumaini Mungu Mwandishi anaendelea kuzungumza na nafsi yake na kuiamuru kumtumaini Mungu. # Mungu wangu, nafsi yangu Mwandishi anaanza kuzungumza na Mungu kuhusu nafsi yake. # Nina kuiitisha akilini Msemo huu unamaanisha kukumbuka au kuwaza kuhusu kitu. "Nina kuwaza" # nchi ya Yordani Hii inaweza kumaanisha Israeli ya kaskazini, ambapo mto Yordani huanzia. "nchi ambayo mto Yordani huanzia" # vilele juu ya milima # kilima cha Mizari Hili ni jina la kilima kwenye kitako cha mlima Hermoni.