# Taarifa ya Mwandishi anazungumza na Yahwe # Kwa yeyote aliye mwaminifu Hapa "mwaminifu" inamaanisha kufanya kile ambacho Mungu anamuamuru mtu kufanya. "kwa wale walio wanaotii kwa uaminifu amri zako" au "kwa wale wanaofanya agano lako kwa uaminifu" # kwa mwanamme asiye na lawama ... ujioneshe msafi Vishazi hivi viwili vina maana ya kufanana. Mwandishi anarudi mawazo haya kwa ajili ya mkazo. # una akili kwa yeyote aliye mkaidi "Unamshinda kwa akili yeyote asiye wazi"